May 24 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma,
kazi ilikuwa ni Wizara ya Utalii na Maliasili
kuwasilisha hotuba yake ya mapato na matumizi
kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ambayo
imeomba kutengewa jumla ya Sh.
135,797,787,000.
Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya
kuchangia bajeti hiyo, na hapa nakukutanisha na
Mbunge wa Viti Maalum CCM Catherine Magige
ambaye yeye anaiomba Serikali kutoa adhabu ya
kifungo cha maisha kwa Wabunge wanaohusika
kijihusisha na Ujangili.
Jumatano, 25 Mei 2016
Maombi ya catheline magige kuhusu ujangili video ipo mallardayo.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni