Majirani bwana
Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo
Ila sasa aingie mwizi hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni
*ShenzyType* By costayego
I wish you a Merry Christmas and Happy New Year
I wish you a Merry Christmas and Happy New Year
JibuFuta