Inaelezwa Kuwa usiku wa kuamkia Leo tarehe 31 Thomas Mashali akiwa katika baa Moja kimara ulizuka ugomvi baina yake na kijana mmoja ndani ya baa ile baada ya Mashali kumkabili na kumdhibiti kijana huyo aliamua kumpigia kelele za mwizi jambo lilimfanya mashali kushambuliwa na watu wasiofahamika kisha wakamburuza nje kidogo ya baa ile
BWANA ALITOA BWANA AMETWAA
JINA LAKE LIHIMIDIWE